Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

Fanyeni yote ila formula yangu kwa upande wa tv ni kudaka second hand brand za samsungor lg uzur matoleo ya tv hata ya miaka mitano hua yanipa feature nzuri kuliko michina ,na pricewise ni cheaper cha msingi ujue kuzichambua na kuzinunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…