Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo?

Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika mitandao ya kijamii.

Tumekubaliana kuwa YANGA wapewe kombe lao kwenye Graphics sasa.

Hiki kitengo cha Digital Yanga Sc waongezewe tu mshahara, huenda ikawa Ligi mpya kati ya anayesajili na wanaohusika katika graphics

Ubunifu ambao unaendela kuonyeshwa watu wa Graphics Yanga katika utambulisho wa wachezaji wao unavutia kweli kweli na hii italeta chachu mwa timu nyingine kuiga yanayofanywa na watu wa Yanga.


 

Attachments

  • simba.mp4
    991.7 KB
Wewe ni yanga ila cha ajabu unajihusisha na simba zaidi kuliko timu yako wewe na manara ni ndugu?
 
"Graphic wa Yanga"? Kama hamuelewi vitu, msiwe mnapenda kuigaiga tu.
 
Back
Top Bottom