si umenikana mbele ya kadamnasi eeeh!!! haya nendakwa huyo sweetylove, siju atawaweza nyie wote???
si umenikana mbele ya kadamnasi eeeh!!! haya nendakwa huyo sweetylove, siju atawaweza nyie wote???
Kumbe ni kweli!mie nilidhani maneno ya watu tu! Bht upo wapi mamaa mwenzio huku maji yamezidi unga.Dont worry bht! Am here darling. Single and free!
Kumbe ni kweli!mie nilidhani maneno ya watu tu! Bht upo wapi mamaa mwenzio huku maji yamezidi unga.
utani tu! usikasirike......
Tanzgu jana mi namwangalia t Xpin anvodandia vimwana muulize hata FL1!!! yaani jana ilikua vurugu mechi no referee!!
nilimkanya severa times akasema harudiii....leo vile umechelewa kajisahau alijua huji tena!!!
haya mama jionee mwenyewe!!! mi niliambiwa nakaba hadi penalti

Hahaha! Mchumba pole kwa ovadozi ya limbwata! Unajua nilieksichenji vikombe kwa bahati mbaya,nikajikuta nakunywa chai badala ya limbwata!
Hahaha! Najua unataka kuniharibia ili nikuchukue wewe. Tangu jana baada ya kuona mchumba hayupo niliona visa vyako. FYI mimi na ZD hata kifo hakitutenganishi. Akitangulia yeye nabugia misumu ya kufa mtu namfuata.
stuka ZD, unaibiwa!, Oohooo abiria chunga mzigo wako gari inapita manzese kisha itakatiza hadi kule mtogole, kua makini!.Kumbe ni kweli!mie nilidhani maneno ya watu tu! Bht upo wapi mamaa mwenzio huku maji yamezidi unga.
Xpin okoa jahazi kabla halijazama, mambo hadharani, talaka itakukosa kweli?
ZD MAMII, alikusudia kufanya hivo...ili apate wasaaa wa kukusaliti maana fiesta ulimbana ile mbaya
stuka ZD, unaibiwa!, Oohooo abiria chunga mzigo wako gari inapita manzese kisha itakatiza hadi kule mtogole, kua makini!.
Du hizi bahati zingine acha tu! Nimekamatika ile mbaya Nguli anajua....sina dalili ya kuacha wala kuachwa ....mapenzi ni lulu tamu! Pole Sweetbaby
stuka ZD, unaibiwa!, Oohooo abiria chunga mzigo wako gari inapita manzese kisha itakatiza hadi kule mtogole, kua makini!.
Nilindie mamaa mwenzio nampenda sana mchumba wangu Xpin.Si unaona hata hii thread inavosema?