Unamaanisha watoto, wakwe, wadogo zako, mume/mke wako, wajomba zako, washikaji zako, nk!! Wewe utakuwa ni kiongozi dhaifu, muoga, mbinafsi, na usiye jiamini.Na ukiteua ndugu zako kuendesha serikali yako inakuaje ?
Mostly ni majizi ,wanafiki,wazembe...nkWahenga; zimwi likujualo halikuli likakwisha, inategemea na mtu mwenyewe, uzuri wa ndugu akiwa na akili nzuri ni rahisi kumwelekeza kwa mifano halisi ya nyumbani na watu wa karibu, na kumwelekeza kuwa malengo yenu ni kufika mbali awe makin.
100%ndugu ni wezi