Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
uende na kinywaji kiongozi sio unapeleka mtumbo wako tu hlf mwenyewe unachekacheka tu😄Sasa nialikwe nibebe kijiko chanini?
Bongo haya mambo hayapo ila huko duniani labda.Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?
Ila nadhani inaeleweka.
We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?
Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?😇🤔
Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
mkuu naww uwa unaenda na manyonyo tu hata kachupa kamoja kadry gin hamna🤣
Huwezi kualikwa kwa mtu ukaenda mikono mitupu.Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?
Ila nadhani inaeleweka.
We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?
Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?😇🤔
Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
Na hivyo ndio inavyotakiwa kuwa. Ila si unajua wabongo tena 😂Huwezi kualikwa kwa mtu ukaenda mikono mitupu.
Chukua hata carton ya beer, chupa ya wine, box za soda au chochote.. tupia kwenye gari
Unafika unaulizwa unakunywa nini….eti Heineken, wakati umeenda mikono mitupu…seriously?
Cash nyumbani kwa mtu ya nini? Beba chupa yakoya wine au carton ya beer kama jamaa alivyosema. Ndio ustaarabu huo.Masta umetokea zone gani ? Yani ualikwe mahali ubebe kinywaji ? Ushamba wa hali ya juu ! Sema unatakiwa uwe na cash mfukoni, mengine yatajipa huko huko
Hajasema kijiko, beba kinywaji kama umealikwa kwenye mlo nyumbani kwa mtu. Kama ni hotel au bar basi na wewe uwe na pesa kidogo ya kuongezea vinywaji 😂Sasa nialikwe nibebe kijiko chanini?