mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Wewe ni masikini , ombaomba ,mlalahoi ,fukara, huna uwezo wakualika watu !!hachana na mambo ya Mialiko huna uwezo huo,wew endelea kuihidumia familia yako ugali na tembeleMada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?
Ila nadhani inaeleweka.
We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?
Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?ππ€
Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?
Ila nadhani inaeleweka.
We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?
Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?ππ€
Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
Sasa umealikwa lunch unabeba na safari lager! Serious?Hajasema kijiko, beba kinywaji kama umealikwa kwenye mlonyumbani kwa mtu. Kama ni hotel au bar basi na wewe uwe na pesa kidogo ya kuongezea vinywaji π
sheikh unang'ang'ana uje na pu;m;bu zako tu?πββοΈusifanye ivo bana. lete chochote kinachoenda saw na tukio.Sasa umealikwa lunch unabeba na safari lager! Serious?
Kama ni lunch beba chupa ya wine, ndio ustaarabu huoSasa umealikwa lunch unabeba na safari lager! Serious?
Sawa mkuu japo sijaafikiHajasema kijiko, beba kinywaji kama umealikwa kwenye mlo nyumbani kwa mtu. Kama ni hotel au bar basi na wewe uwe na pesa kidogo ya kuongezea vinywaji π
Anaenialika atajua mwenyewe. Sitoi hata cent yangu . Kama katingwa na kazi anakuta bili !
Hata usipokuja na kitu sawa sweetheart, maana habari yako siyo ndogo...Anaenialika atajua mwenyewe. Sitoi hata cent yangu . Kama katingwa na kazi anakuta bili !
Si Kwamba nakua sina akiba yangu no ni sipendagi maigizo kabisa
πππππUkialikwa alikika, nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja namwambiaga tutoke anajiongezaga anakuja hata na ka elf10 kakuongezea bia
Wewe kucheka tu kuchangia mada aaahπππππππ
Yaan hatari tupu, ππππWewe kucheka tu kuchangia mada aaahππ