Ukiambiwa hivi utaanzaje?

Ukiambiwa hivi utaanzaje?

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?
 
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?

Nyote mko single?

Kwa ufupi ningeinuka na kwenda kutafakari alichoniambia maana sio rahisi kwa mtu kutamka neno nitongoze, wengi huwa wanafanya vitendo vya kujitongozesha kwako
 
Ningemwambia twende kwanza angaza, then nampa anachokihitaji
 
mi hata sijaelewa,huyo agemate ni mvulana au msichana?
 
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?

Naanza kwa kumsimulia hadithi ya kisa cha mapenzi kinachoishia kuhuzunisha.........
 
Ningempotezea tu naanzisha topic ingine labda kama nilikuwa nammendea.
 
Duh,kweli JF shule,kuwa huru,kama unampenda mtongoze kama humpendi kimapenzi una mpotezea kishkaji...........lol
 
ningemtongoza kwa kumwambia"unajua yale magari yooote yanayoanza na SU/DFP ni yangu!na yale magorofa yooooote yanayojengwa yamezungushia kama pazia ya blue ni yetu!wanawake wooote wanaovaa khanga dada zangu!wote wavaao jinsi/pedo walinikataa sasa sijui ww ulieva sketi unasemaje?
 
Mi ningemwambia hebu nifundishe hivi huwa wanaanzaje?
 
Very easy! Kuanza tu: ningeanza hivi "kwani we umeshawahi kutongozwa"?
 
Nitamuomba kwanza nimpeleke Milembe.............aakhhhh
 
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?

kaka unanivutia sana kwa thread zako, ila mimi ningemwambia anataka nimtongoze kwamaneno au vitendo, akichagua vitendoitakuwa neema kama kumsukuma mlevi ktk mteremko mkali
 
Kamarada umenifurahisha kweli kwamza umpeleke milembe hospitali ya vichaa, hiyo kali.
Mie ningemwuliza swali ili anipe jibu, kwani kutongoza ni kitu gani? akishajibu basi ndo mwazo wa yote ila ni kwa pale tu nipapendapo.
 
Ningeanza kwa kumwambia aniazime chupi yake
 
huyo mtu anakuwa anataka mambo yale ya kikubwa sio kingine, ingekuwa mimi ningemwambia "leo sipo kwenye mood nikiwa ntakutongoza".....maana yake ndo nishampotezea hivyo, hakuna mtu mwenye akili timamu akaomba kutongozwa either ajitongozeshe bt sio kuomba..huyo si mzima unaweza uziwa kesi buree!! Kimbiaaa....:car:
 
Back
Top Bottom