Ukiambiwa twende dinner maana yake utoke sexy

Acheni uvivu vijana. Kama mnashindwa kusoma story hivi kuwapa mimba wanawake mtaweza??
mimba yenyewe hutii pekee yako kuna wenzako wanakusaidia kuweka pua,mdomo,rangi na kila kitu

na hapa ni vivo hivyo tunajua uzi umezungumziwa nini kupitia comments za wengine

huo unaitwa mgawanyo wa kazi wakati wewe unamnunulia mkeo chupi wenzio wanakusaidia kumvua
 
Hapo kwenye red.
Hiyo ni kwa nyie wa Darisalama lakini huku kwetu muzye chini hamna kabisa, waweza tolewa busha kwenye kidevu.
 
Mleta mada anajitekenya na kucheka mwenyewe! Naona ana ugonjwa wa kasokoni! Btw ujumbe mzuri
 
Hii ni copy and paste, sio kazi yako na unabidi uombe rights za aliyefundisha hii kitu. Ni tabia mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…