Ukiambiwa twende dinner maana yake utoke sexy

Mavitenge ya stif haha lol lakn kwel mtu ukitolewa dinner hutakiwi kuvaa kama mamaako u have to look sexy kidada dada
 
Wewe n me au ke... si kwa mipasho hiyo kaaa umezaliwa chooni...
 
Kutoka sexy kwa mwenzi wako sio lazima mpaka uende dinner, hata ukiwa tu ndani si vibaya kutoka ki sexy kumfurahisha mwenzi wako. Inapendeza zaidi na si rahisi kuchokana haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…