Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,924 Aug 19, 2020 #1 Habari za humu Wana JF Ni katika kuleta kitu tofauti tu ila hakina maana halisi na jinsi labda kusema ni itatokea kweli hapana ni kutoa tu mawazo kujiweka katika ile hali ya kuwa kuna kitu unatamani ule au ukipate, Karibuni kwa mchango.
Habari za humu Wana JF Ni katika kuleta kitu tofauti tu ila hakina maana halisi na jinsi labda kusema ni itatokea kweli hapana ni kutoa tu mawazo kujiweka katika ile hali ya kuwa kuna kitu unatamani ule au ukipate, Karibuni kwa mchango.
battawi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 2,712 Reaction score 2,577 Aug 19, 2020 #2 Waulize CCM wanalo jibu mwak huu 😀 😉 Mimi nadhani CCM watachagua SUMU au kamba ili wajinyonge
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,773 Reaction score 51,429 Aug 19, 2020 #3 Kwanza kabisa siwezi kunyongwa