Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe πŸ˜‚
Mimi ni mkokoteni tu unanitosha wala sina makuu kwani ugonjwa wa zinaa maambukizi pamoja na uchawi wa wanawake unaniogopesha mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…