Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #201
Babu umetisha πSGR ya dar/Dom Dom/darπ
Waoga ndio wana patagaMimi ni mkokoteni tu unanitosha wala sina makuu kwani ugonjwa wa zinaa maambukizi pamoja na uchawi wa wanawake unaniogopesha mno.
Kimara-gerezani πππMwendo kasi na watakavyo shona humo ndani kama abiria wa kimara π
Ngβombe wa nyama πMaziwa ya bure unataka ng'ombe wa nini?
Nmenyooka kama rula ila ukinifatilia kwenye michango yangu humu unaweza dhani ni wakala wa shetani kitengo cha uzinifu/uzinzi.Unavyo jitetea sasa
Uho mchezo hakuna asie upendaNmenyooka kama rula ila ukinifatilia kwenye michango yangu humu unaweza dhani ni wakala wa shetani kitengo cha uzinifu/uzinzi.
Mkubwa ume tisha πKwa mimi kagari kikote kwa seat 3 kanatosha
Napenda ila kwa mmoja tena yupo humu jf kwahiyo usinivunjie uaminifu.Uho mchezo hakuna asie upenda
Ngoja nikuharibie roho yangu ifurahie πππ ujatulia kabisa wewwNapenda ila kwa mmoja tena yupo humu jf kwahiyo usinivunjie uaminifu.
lHata wale wa sudani, uwanja wa fisi, buguruni, mwananyamala, sinza , telegram nao tunahesabia??
Humu hamuamini mwingine zaidi yanguNgoja nikuharibie roho yangu ifurahie πππ ujatulia kabisa weww
Humu hamuamini mwingine zaidi yangu
ujana mkuu ,sijui tulikua tunakimbilia wapiBabu umetisha π
Duuh hapo kwakweli akimaliza kuwasafirisha DeepPond kwa hilo treni itabidi aniazime na mimi.Ndio si ume lala nao
l
Ujana una raha yakeujana mkuu ,sijui tulikua tunakimbilia wapi
Ume tupiga πππMeli tatu kubwa kama ile ya Titanic