Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naruhusiwa kuchagua first born ??Nataka niunde yangu hapa..
Nafikiria kukuweka uwe mtoto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani nawabeba kichwanii?Kaka yako pampula umemuona lakini? Una mawifi kijiji kizima na nguvu hata hana[emoji134][emoji134][emoji134]
Km utahitaji shamba boy,km sehemu ya familia nipoNataka niunde yangu hapa..
Nafikiria kukuweka uwe mtoto.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]utakuwa kaka..Km utahitaji shamba boy,km sehemu ya familia nipo
Ukaka hapa, hy nafasi ndio inanifaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]utakuwa kaka..
Subiri naandaa list inakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukaka hapa, hy nafasi ndio inanifaa
Mume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
Zoë
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE (huyu nahisi mama alibadilishiwa hospitali)
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family friends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
Shamba boy km sehemu ya familia au hii nafasi hakuna?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jichagulie.. unataka kuwa nani?
Hii hamna..nina list ya watoto wengi mno..watafanya hizo kazi..Shamba boy km sehemu ya familia au hii nafasi hakuna?
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hii familia nimeipenda sana [emoji847][emoji847]
Thank you mom, vile umenichagulia the right dad yaani umegonga mule mule [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Mungu anipe nini mimi
@Makiseo wewe ni shem wangu wa nguvu[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]. Au hunikubali shemeji yako?Wewe ndiyo Shem wangu etii?
Dah yaani hata hy nafasi watu wameishachukua ? Mmmmh basi km vipi ,nakua kijana wa nyumbani tuHii hamna..nina list ya watoto wengi mno..watafanya hizo kazi..
Chagua nyingine...
Aaaaah!!! Wewe tena? Verified[emoji818]@Makiseo wewe ni shem wangu wa nguvu[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]. Au hunikubali shemeji yako?