Nakuweka Kaka nimekuambia...Dah yaani hata hy nafasi watu wameishachukua ? Mmmmh basi km vipi ,nakua kijana wa nyumbani tu
HahahahaNakuweka Kaka nimekuambia...
Utakuwa Kaka wa nyumbani[emoji3]
Sawa Kijana wangu..Basi mimi nimeshachagua kuwa first born niwe mtoto wa kwanza utakayemtuma maji [emoji3][emoji3][emoji3]
Na kwangu itakuwa furaha kuwa first born wakoSawa Kijana wangu..
Hilo limepita..Tena 1st born wa kuume!
Neema iliyoje hii???
Karibu Mwanangu...Na kwangu itakuwa furaha kuwa first born wako
[emoji120][emoji120][emoji120]Karibu Mwanangu...
Japokuwa Marist born huwa hatudeki itabidi uniruhusu nideke hata kwa siku moja tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Karibu Mwanangu...
Kwenye watoto apo ungemuweka na rikiboy nyumba ingejaa masiharaNatumai hamjambo wanabodi.
Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:
BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)
MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)
SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)
MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)
BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)
BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza
MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)
WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)
NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.
Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
Kwa nini udeke siku moja Son? Wewe ukihitaji attention yangu muda wowote nipo hapa Mwanangu..Japokuwa Marist born huwa hatudeki itabidi uniruhusu nideke hata kwa siku moja tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23] I like it!
Aaaah jamani wamcheka tena kaka ???[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Shunie mtoto wangu kabisa huyu!Nafikiri Shunie atakufaa [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Didn't see this, babe[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Tuna watoto first class, wana akili kama mama yao.
Shunie mtoto wangu kabisa huyu!
Hahaha, subiri akija atakuambia!Mweee kumbe