Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Eheee muondoe tu baba
hilo nitalifanya leo leo wala usiwe na shaka, pia jiandae kwa bonge la ndoa nataka mtaani hapa tuweke historia maana washanisema sana kua mabinti zangu hawaolewi.
 
Mimi ni muislamu naoa wake wa nne. Alafu mbona kipengele cha michepuko na idadi yake sijakiona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…