Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mlizi ni kimeo baba..mlinzi alikua akinipa habari zenu sema nilikua nawaonea aibu kuwaambia bt kwa kua unaolewa nimeona nikupe angalizo.
mkuu hapo ndo wewe huyo mwalim?Mchague na shule kabisa ya watoto wenu!View attachment 1528752
mkuu hapo ndo wewe huyo mwalim?
mwenyewe nimeona, huenda anawataman hivo namtimua haraka asijekuniharibia watoto bure nikakosa wakwe wa maanaHuyo mlizi ni kimeo baba..
Mpige chini fasta
aiseeNa hapo NMB haisomi
Eheee muondoe tu babamwenyewe nimeona, huenda anawataman hivo namtimua haraka asijekuniharibia watoto bure nikakosa wakwe wa maana
hilo nitalifanya leo leo wala usiwe na shaka, pia jiandae kwa bonge la ndoa nataka mtaani hapa tuweke historia maana washanisema sana kua mabinti zangu hawaolewi.Eheee muondoe tu baba
Eenh bwanaUmeadimika sana we cheupeee
Khaaaa
Anko wangu huyo [emoji134][emoji134]
Mmmmh![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Nionee huruma basi babe, amu anabaki kuwa family friend.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa mbona family friend unanisnitch?
Vyema kamsaidie Vinci kuingiza godoro lake alilolikojolea!.. mi naingia mitaa kukutafutia wifi..😅Sijambo dia kaka 😁
Kwa hili sitokuangusha baba mkwethaman yako ni kubwa kuliko hiyo mahari, nimeamua kumpunguzia tu coz anaonekana ni hazbandi matirio pia ni HENDISAM hivo natarajia kupata wajukuu wazuri.