Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Baba: Mshana
Mama: FaizaFox
Kaka: Kiranga
Dada: Mama Debora

Tutahitaji na msuluhishi wa kudumu wa familia, so
Msuluhishi: The boss

[emoji1]
Mshana atawaroga wote balaa😂😅😂😅😅
Hawana mtoto?.
 
hii kweli ni zaidi ya chit chat
 
chakorii mwambie huyo bwana mkubwa asikuchore atulizane, hii ni chit chat asichukulie serious mambo ya huku.
 
Waooohhhhh!!!!This is fantastic, thank you sis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…