Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna huyo mmoja anasuka kama kiduku ndiyo pasua kichwa hapo!
Vinci sina shida nae, ila nyie wengine sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
We hata ujirani siutaki, labda uwe mwalimu wa mwanangu Heaven Sent
Mume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
Zoë
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE (huyu nahisi mama alibadilishiwa hospitali)
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family friends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
Mama Jael
Mke Mzigua90
Mke mwingine Shunie
Mke mwingine Hornet
Family friends ambao mda wowote wanaweza kua converted kua wake[emoji16][emoji16] Joanah financial services Depal Saint Anne
Mama mdogo Zoë
Rafiki wa baba yna2
Mcheps
1.
2.
3.
Naomba kuwakilisha
[emoji28][emoji28][emoji28]ndo nishagoma kufanya kazi sasa..naenda zurura huko mtaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toto naona unawafokea wakubwa zako
Hahahaha, nimekubaliMama Jael
Mke Mzigua90
Mke mwingine Shunie
Mke mwingine Hornet
Family friends ambao mda wowote wanaweza kua converted kua wake[emoji16][emoji16] Joanah financial services Depal Saint Anne
Mama mdogo Zoë
Rafiki wa baba yna2
Mcheps
1.
2.
3.
Naomba kuwakilisha
Mkuu nasubiri family yakoHuu msema wa kufokea umetoka wapi?
Mkuu nasubiri family yako
Naam, mimi ndiyo Moral Compass wako wewe!
Wewe ndiye my best beloved dada, you have a special place in my heart!
Hahahaha, si ndio vzr ,family inayotokana na watu wa humuFamilia zilizowekwa humu zinatosha mkuu.
Mimi yangu itakuwa ya maajabu sana nikiweka.
Hahahaha, si ndio vzr ,family inayotokana na watu wa humu
Kuna mtoto pasua kichwa mmoja hapo!
Huu msema wa kufokea umetoka wapi?
Hahaha nafikiri umeanzishwa instagram! Ni misimu kama misimu mingine tu nao umekuja na utapita!
Hahahaha ,tatizo sina, halafu mm sio kihiivyoAnza wewe mzee mwenzangu