Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Anko Kataskopos yuko singo, mtafutie totoz nzuri basi!
Mkuu kataskapos sio wewe unatajwa hapo chini ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jimbo lipo wazi hilo
Mimi bhana familia yangu kwa upande wa mume ndo kiboko,, naona Kuna vichwa Kama vitatu hivi ila Sasa tatizo lao Ni ngumi mkononi

Watoto mama, baba, babu, kaka, bibi nk hao watakaa member yeyote tu
 
Back
Top Bottom