Ukiamka alfajiri sana mambo yanaenda vizuri

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
 
Attachments

  • VID-20240623-WA0000.mp4
    858.9 KB
Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
Ndo maana hatuendelei. Ndo maana tuna kunya maporini ambapo treni ya kisasa ya SRG inapita.

LALA WEWEE
 
Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
Ni kweli ndio maana waswahili wanasemaga "time is money"... Ukiamka asubuhi unapata muda mwingi wa kuchakarika
 
Back
Top Bottom