shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,068
- 3,507
Pambana nae tu usimkasirikie na yeye ana mazuri yake pia!Ni mbumbumbu ndio kila siku najitahidi kumfundisha jambo jipya lakini ni mgumu wa kuelewa na hata akielewa anawahi kusahau..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambana nae tu usimkasirikie na yeye ana mazuri yake pia!Ni mbumbumbu ndio kila siku najitahidi kumfundisha jambo jipya lakini ni mgumu wa kuelewa na hata akielewa anawahi kusahau..
Akuuzie tu ....90% ya wanawake wanafanya biashara ya uchi direct au indirect kwa hiyo asikutishe huyo Wala asikubabaishe....Atafute wauza uji mtaan
Mtoto mzuri km wewe tunawawezasisi.tu 🤗
Nina kibunda cha buku tano naomba Tamu 😎
Safi kabisa ,hapo siku ukiamua unawasiliana na mchepuko kwa ngeli mwanzo mwisho .Kuna member hapa ana comment nitafute type yangu 😁😁😁 mpaka Mimi kuandika Haya nimejiridhisha vya kutosha. Mimi ni miongoni mwa wanaume walioowa mwanamke wa kiwango Cha chini sana..Mpaka leo mama yangu huwa ananiambia ilikuwaje wewe Mwizukulu mgikuru ukaowa mwanamke mbaya hivi? Mfupi mnene mweusii, kidato Cha nne aliferi Mimi mme wake Nina degree mbili, hata kuhesabu saa ya ukutani hajui yaani ni mbumbumbu mzungu wa reli..
Tena sanaaaaaqaaaa"mwanamke ni kiumbe anayesahau haraka Sana "
Kweli kabisa mkuuYule jamaa alikuwa yupo vizuri sana kiuchumi na alijitahidi sana kumpa mwanamke kila alichokitaka, lakini mwanamke ni kiumbe kisicholidhika, tamaa nyingi na ameumbwa kusahau kwa haraka.
Wanaume Wa Type yetu ni Sabuni Tu kwenu Tunatafuta tu watoto.Tafuta type Yako
😹