Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hahahahaha babyyyyyyy[emoji23][emoji134][emoji134][emoji87][emoji87][emoji87]
Mazungumzo baada ya habari...embu lala ukoHahahahaha babyyyyyyy[emoji23]
Sema wana exaggerate sanaKama kwa bongo hapa uwiano huo hata si mkubwa kama watu wanavo dhani
Sanaa wanatumia kama kisababu tuu hata si uwiano mkubwa kiviileeSema wana exaggerate sana
Uwiii umenishinda tabia[emoji119]..... Embu changia mada uko .... Naamia zangu uzi mwingine hapa bakien wenye eksipiriensiMazungumzo baada ya habari...embu lala uko
Kwelii kakaSanaa wanatumia kama kisababu tuu hata si uwiano mkubwa kiviilee
Na wengu wanajiwekeaga NuksiKwelii kaka
What goes around, comes around like a hula hoop.Na wengu wanajiwekeaga Nuksi
Akutembeana na mume wamtu jua na wa kwake ata tembea na wengine au ndio unakuta vijindoa vina chelewa chelewa
Karma is real[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]What goes around, comes around like a hula hoop.
Karma is a bitch, well just make sure that bitch is beautiful
wako wapi kwanza
unadhani ni rahisi kuwapata sasa
Tatizo sio just a man its man with somethingKwan ukitafuta mtu wako ukatulia nae kuna shida hadi uwe chepuko?
Vipi je ukiwa na uhusiano na mke wa mtu? Au ni kitonga hakuna mambo haya?Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo:
1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu
2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa
3. Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao
4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua
5. Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife
6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa
7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi
8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini.. ,nilikua na mke wangu
Ili mwisho wa siku ukija kupewa mimba na kuterekezwa usije na kauli zako za kusema wanaume wote ni mbwa[emoji23][emoji23]na kama utafikia hatua ya kuwaita wanaume wote hivyo basi anza na kumtaja baba yako ili twende sawa maana sometimes huwa mnakuwaga na ukulunjuma mwingi sana dadeq
Very soon utaangukia kwenye kundi la James delicious! Watch out. This is not the character of man. Ushabiki wako unaenda sambamba na KEs humu.Sanaa wanatumia kama kisababu tuu hata si uwiano mkubwa kiviilee
Hatareeee kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo mwisho umeuaaa
Shem umewahi kufuatwa na mme wa mtuAhhahahahaha wanaume wenye wanawakw wanavyojishaua kwenye comment wakati ndo wanaongoza kutongoza hasa hawa wanaotoka Dar kuja Dom tunachekaaaa kihutuuuu hiiiii