Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo

Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo

Ni sawa tu maana wanaume tupo wachache wengine wanakutwa wamekufa kisa kuovadozi dawa ya nguvu za kiume huko Moshi, Rombo ndiyo hadi wanawake wanaenda kenya kufuata huduma, wakina kaoge nao rundo.
 
Na wengu wanajiwekeaga Nuksi
Akutembeana na mume wamtu jua na wa kwake ata tembea na wengine au ndio unakuta vijindoa vina chelewa chelewa
Karma is real[emoji23]
What goes around, comes around like a hula hoop.
Karma is a bitch, well just make sure that bitch is beautiful
 
Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo:

1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu

2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa

3. Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao

4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua

5. Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife

6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa

7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi

8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini.. ,nilikua na mke wangu

Ili mwisho wa siku ukija kupewa mimba na kuterekezwa usije na kauli zako za kusema wanaume wote ni mbwa[emoji23][emoji23]na kama utafikia hatua ya kuwaita wanaume wote hivyo basi anza na kumtaja baba yako ili twende sawa maana sometimes huwa mnakuwaga na ukulunjuma mwingi sana dadeq
Vipi je ukiwa na uhusiano na mke wa mtu? Au ni kitonga hakuna mambo haya?
 
Sanaa wanatumia kama kisababu tuu hata si uwiano mkubwa kiviilee
Very soon utaangukia kwenye kundi la James delicious! Watch out. This is not the character of man. Ushabiki wako unaenda sambamba na KEs humu.
 
Back
Top Bottom