hah hahaaa. hahaaaa.....Duhhh basi hongera sana , toka nianze kua nahesabu jamaa zako unaowataja humu , uyu sasa ni watano .mweee aiseeew.
Kuna wale watatu ambao uliwaacha sababu walikuomba mabaya.
Kuna huyu ambaye mpakanukasimulie kisa chake na Eva.
Nahuyu Mume wamtu..watano sasa !!
Baby wewee kiboko eeehhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Wengiii sana mpaka nimewachokaaaShem umewahi kufuatwa na mme wa mtu
Hahaha mchepuko mzoefuDuhhh basi hongera sana , toka nianze kua nahesabu jamaa zako unaowataja humu , uyu sasa ni watano .mweee aiseeew.
Kuna wale watatu ambao uliwaacha sababu walikuomba mabaya.
Kuna huyu ambaye mpakanukasimulie kisa chake na Eva.
Nahuyu Mume wamtu..watano sasa !!
Baby wewee kiboko eeehhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Hahaha, huwa unawahifadhi wakija huko?Ahhahahahaha wanaume wenye wanawakw wanavyojishaua kwenye comment wakati ndo wanaongoza kutongoza hasa hawa wanaotoka Dar kuja Dom tunachekaaaa kihutuuuu hiiiii
Nawahifadhi wapi tena?Hahaha, huwa unawahifadhi wakija huko?
Nishani ya uzamivu ya chuo kikuu cha California. [emoji2][emoji2][emoji2]Aiseeee"" kama ndio wanakutana na hiyo hali basi ...wanapaswa kutunukiwa nishani ya uzamivu "" wa UVUMILIVU ""
Nadhan hakuna aliyewahi kufanikiwaWengiii sana mpaka nimewachokaaa
Kama watongozwa je?!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hivi mtu mpaka anakuwa mchepuko anakuwa ana tatizo gani
Ni njaa, ni umasikini, ni ujinga ni kudharau au kuwa deseparate sana?
Maana huwa siwaelewi watu wa aina hiyo
Sio kweli bwanaa "I beg to differ" we have seen many michepuko living large life kuliko hao walioolewa!!Aiseeee"" kama ndio wanakutana na hiyo hali basi ...wanapaswa kutunukiwa nishani ya uzamivu "" wa UVUMILIVU ""
Yupo mmoja tu mheshimiwa mkubwa serikalinNadhan hakuna aliyewahi kufanikiwa
Si masikhara kiongozi,maana inabidi tupige kazi kama ma billdozer,kuiridhisha hiyo nyomi ya wanawake si swala dogo ati...Ni sawa tu maana wanaume tupo wachache wengine wanakutwa wamekufa kisa kuovadozi dawa ya nguvu za kiume huko Moshi, Rombo ndiyo hadi wanawake wanaenda kenya kufuata huduma, wakina kaoge nao rundo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama watongozwa je?!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ulimtunuku keki ya taifa ?Yupo mmoja tu mheshimiwa mkubwa serikalin
Mutu mukubwa katununukiwaUlimtunuku keki ya taifa ?