Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo

Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo

6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duhhh basi hongera sana , toka nianze kua nahesabu jamaa zako unaowataja humu , uyu sasa ni watano .mweee aiseeew.

Kuna wale watatu ambao uliwaacha sababu walikuomba mabaya.

Kuna huyu ambaye mpakanukasimulie kisa chake na Eva.

Nahuyu Mume wamtu..watano sasa !!

Baby wewee kiboko eeehhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
hah hahaaa. hahaaaa.....
 
Hahahah..!!! Wana uvumilivu wa kiwango cha lami[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duhhh basi hongera sana , toka nianze kua nahesabu jamaa zako unaowataja humu , uyu sasa ni watano .mweee aiseeew.

Kuna wale watatu ambao uliwaacha sababu walikuomba mabaya.

Kuna huyu ambaye mpakanukasimulie kisa chake na Eva.

Nahuyu Mume wamtu..watano sasa !!

Baby wewee kiboko eeehhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Hahaha mchepuko mzoefu
 
Hivi mtu mpaka anakuwa mchepuko anakuwa ana tatizo gani
Ni njaa, ni umasikini, ni ujinga ni kudharau au kuwa deseparate sana?
Maana huwa siwaelewi watu wa aina hiyo
Kama watongozwa je?!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Aiseeee"" kama ndio wanakutana na hiyo hali basi ...wanapaswa kutunukiwa nishani ya uzamivu "" wa UVUMILIVU ""
Sio kweli bwanaa "I beg to differ" we have seen many michepuko living large life kuliko hao walioolewa!!

Hayo yapo ila si kwa wote
 
Ni sawa tu maana wanaume tupo wachache wengine wanakutwa wamekufa kisa kuovadozi dawa ya nguvu za kiume huko Moshi, Rombo ndiyo hadi wanawake wanaenda kenya kufuata huduma, wakina kaoge nao rundo.
Si masikhara kiongozi,maana inabidi tupige kazi kama ma billdozer,kuiridhisha hiyo nyomi ya wanawake si swala dogo ati...
 
Back
Top Bottom