Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo

Kuna ule mchepuko wa taifa si umepewa wizara nzima ya minerals una imiliki.
Lakini hizo ni special case chache sana
Kulingana na status ya mtu pia,mwingine kiwanja,gari,nyumbani,mapochopocho n.k it depends na huyo mume wa mtu!
 
Ndo wenye kuonyesha kujali sasa...!hao single pasua kichwa kweli![emoji2] [emoji2]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Visingizio vya kunyang'anya waume za watu vinakuwaga vingi!! Yaan watu woote wanao kutongoza aso jua ku care hata mmoja hayupo?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Visingizio vya kunyang'anya waume za watu vinakuwaga vingi!! Yaan watu woote wanao kutongoza aso jua ku care hata mmoja hayupo?
Hawapo hataa!wasanii tu hawa masingle wengi wao yaani and it depends kama watafuta mume jikaze upate single mwenzio..ila km kula good time tafuta Mme wa mtu mchoshane tu baasi!
Mwanzo I was scared to engage kwenye hizo mambo za waume za watu mnoo tena ukisema umeoa yaani nakata line on the spot... Haaa nikafikiriii mnooo,jibu likaja mbona hata miye niliibiwa wa kwangu!!!liwalo na liwe bwana wee!!

Aliye msafi awe wa kwanza kurusha jiwe kwangu!
 
Unaonekana kuwa expert sana hapo[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siogopi sasa hivi mume wa mtu kwanza kama ndoa nilishaolewaa!sina mpango wa kuolewa wala kuzaa!!

Ila cha mhimu Usithubutu kuzaa na mume wa mtu!!!!yaani huo ni ujinga wa hali ya juu labda mkewe awe tasa
 
Kwanza pole kwa yaliyokutokea may be yalibadilisha fikra zako negatively badala ya positively
Lakini
What the hell are you talking!!?. Una maanisha kuchepuka ni sawa?, unamaanisha wanao chepuka they are morally just doing alright?, una maanisha peopke should not feel guilty pale wanapo iba waume za watu? Una maanisha ladies are better off wakiwa na waume za watu kuliko singles wenzao?

Kama hizi ndio sababu zina kufanya u sapot hiyo ishu, with due respect hauko sawa hapo.

Mi si msafi ila ningekuwa wa kwanza kukurushia bonge ya jiwe kwa hii ishu [emoji23]
 
I like you, i always respect your beauty of mind and your level of reasoning and i believe everybody should live their lives freely and feel what they feel
BUT this is non sense, insensitive, immoral, unproper, sinful,disgusting, cruel, unjust etc

And am disappointed in the sense i cant even say anything more.

[emoji124]
 
[emoji23] [emoji23] ungerusha tu jiwe kiroho safi!

Sijasema kuwa na mume wa mtu ni sawa ila inapobidi acha wachepuke tu!

Kwangu Mimi naona sawa tu kwa hili wala sijali!

Kila mtu apambane na hali huba lake ntakachomshauri amheshimu mkewe haswaaaa teyna na kumsisitiza awahi kurudi nyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kwangu asilale ili asijiskie vibaya...na amhudumie na wanawe awapende pia kama wamezaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] kizuri Shea na nduguyoooo....!!!

[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] mi bwana siogopi mume wa mtu hata kidogo!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ayiiiiii

[emoji124]
 
Waoooooo!!!am humbled!!!thanks for appreciation but do remember this; [emoji3] [emoji2] [emoji2] am not perfect person and I will never be!!!

That's my weakness broh and as long as u love don't be disappointed or despise me!u have to advice me and appreciate my other side too!!

I'm also human being with feelings,I've been through enough so now I do what my conscious tells me!!!

I can love anybody as long my heart tells me;the thing I can't do till now is cheating...I cheated only once in my whole life purposely and I don't regret at all!! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Soryyyy!accept my weakness pleaseee!with due to respect budyy!!!!
 
Hivi mtu mpaka anakuwa mchepuko anakuwa ana tatizo gani
Ni njaa, ni umasikini, ni ujinga ni kudharau au kuwa deseparate sana?
Maana huwa siwaelewi watu wa aina hiyo
waume za watu ndio wanaoonga magari ,ukitaka kusajili wakwaki tegemea marioo!
 
Duh!
 
mpaka kina madonna wanafurahia kuhongwa,tunaiattend dhambi yetu ya asili!
Kwani madonna anahongwa na maskini? Si matajiri zaidi yake
So ishu ni ile ile tuu hatosheki bado ana umaskini. Angekuwa yeye ndio ana honga ningesema dhambi ya asili ila.kama naye ana hongwa ni maskini tuu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…