DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Anatumia jf ?Namjua yule huwa mjanja mjanja town nikikupa codes fasta unafungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia jf ?Namjua yule huwa mjanja mjanja town nikikupa codes fasta unafungua
Ujinga upi tena wkt account ilichekaAkili au ujingaaa
Ndo wenye kuonyesha kujali sasa...!hao single pasua kichwa kweli![emoji2] [emoji2][emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa hiyo inakuwa wanao kutongoza ni wenye watuwao tuu/walio oa tuu? Khaa!
[emoji23]Yeaaah alikuwa na kitambi alafu alikuwa anapalaza juuu tu akidumbukiza inalala sjui hana nguvu
Kulingana na status ya mtu pia,mwingine kiwanja,gari,nyumbani,mapochopocho n.k it depends na huyo mume wa mtu!Kuna ule mchepuko wa taifa si umepewa wizara nzima ya minerals una imiliki.
Lakini hizo ni special case chache sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo wenye kuonyesha kujali sasa...!hao single pasua kichwa kweli![emoji2] [emoji2]
Unaonekana kuwa expert sana hapo[emoji23]Kulingana na status ya mtu pia,mwingine kiwanja,gari,nyumbani,mapochopocho n.k it depends na huyo mume wa mtu!
Hawapo hataa!wasanii tu hawa masingle wengi wao yaani and it depends kama watafuta mume jikaze upate single mwenzio..ila km kula good time tafuta Mme wa mtu mchoshane tu baasi![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Visingizio vya kunyang'anya waume za watu vinakuwaga vingi!! Yaan watu woote wanao kutongoza aso jua ku care hata mmoja hayupo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siogopi sasa hivi mume wa mtu kwanza kama ndoa nilishaolewaa!sina mpango wa kuolewa wala kuzaa!!Unaonekana kuwa expert sana hapo[emoji23]
Kwanza pole kwa yaliyokutokea may be yalibadilisha fikra zako negatively badala ya positivelyHawapo hataa!wasanii tu hawa masingle wengi wao yaani and it depends kama watafuta mume jikaze upate single mwenzio..ila km kula good time tafuta Mme wa mtu mchoshane tu baasi!
Mwanzo I was scared to engage kwenye hizo mambo za waume za watu mnoo tena ukisema umeoa yaani nakata line on the spot... Haaa nikafikiriii mnooo,jibu likaja mbona hata miye niliibiwa wa kwangu!!!liwalo na liwe bwana wee!!
Aliye msafi awe wa kwanza kurusha jiwe kwangu!
I like you, i always respect your beauty of mind and your level of reasoning and i believe everybody should live their lives freely and feel what they feel[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siogopi sasa hivi mume wa mtu kwanza kama ndoa nilishaolewaa!sina mpango wa kuolewa wala kuzaa!!
Ila cha mhimu Usithubutu kuzaa na mume wa mtu!!!!yaani huo ni ujinga wa hali ya juu labda mkewe awe tasa
[emoji23] [emoji23] ungerusha tu jiwe kiroho safi!Kwanza pole kwa yaliyokutokea may be yalibadilisha fikra zako negatively badala ya positively
Lakini
What the hell are you talking!!?. Una maanisha kuchepuka ni sawa?, unamaanisha wanao chepuka they are morally just doing alright?, una maanisha peopke should not feel guilty pale wanapo iba waume za watu? Una maanisha ladies are better off wakiwa na waume za watu kuliko singles wenzao?
Kama hizi ndio sababu zina kufanya u sapot hiyo ishu, with due respect hauko sawa hapo.
Mi si msafi ila ningekuwa wa kwanza kukurushia bonge ya jiwe kwa hii ishu [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] ungerusha tu jiwe kiroho safi!
Sijasema kuwa na mume wa mtu ni sawa ila inapobidi acha wachepuke tu!
Kwangu Mimi naona sawa tu kwa hili wala sijali!
Kila mtu apambane na hali huba lake ntakachomshauri amheshimu mkewe haswaaaa teyna na kumsisitiza awahi kurudi nyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kwangu asilale ili asijiskie vibaya...na amhudumie na wanawe awapende pia kama wamezaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] kizuri Shea na nduguyoooo....!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] mi bwana siogopi mume wa mtu hata kidogo!!!
Waoooooo!!!am humbled!!!thanks for appreciation but do remember this; [emoji3] [emoji2] [emoji2] am not perfect person and I will never be!!!I like you, i always respect your beauty of mind and your level of reasoning and i believe everybody should live their lives freely and feel what they feel
BUT this is non sense, insensitive, immoral, unproper, sinful,disgusting, cruel, unjust etc
And am disspointed in the sense i cant even say anything more.
[emoji124]
waume za watu ndio wanaoonga magari ,ukitaka kusajili wakwaki tegemea marioo!Hivi mtu mpaka anakuwa mchepuko anakuwa ana tatizo gani
Ni njaa, ni umasikini, ni ujinga ni kudharau au kuwa deseparate sana?
Maana huwa siwaelewi watu wa aina hiyo
Basi kumbe ni njaa na umasiki [emoji23] [emoji23]waume za watu ndio wanaoonga magari ,ukitaka kusajili wakwaki tegemea marioo!
Duh![https://lh3]
Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo:
1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu
2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa
3. Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao
4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua
5. Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife
6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa
7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi
8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini.. ,nilikua na mke wangu
Ili mwisho wa siku ukija kupewa mimba na kuterekezwa usije na kauli zako za kusema wanaume wote ni mbwa[emoji23][emoji23]na kama utafikia hatua ya kuwaita wanaume wote hivyo basi anza na kumtaja baba yako ili twende sawa maana sometimes huwa mnakuwaga na ukulunjuma mwingi sana dadeq
mpaka kina madonna wanafurahia kuhongwa,tunaiattend dhambi yetu ya asili!Basi kumbe ni njaa na umasiki [emoji23] [emoji23]
Umenisadia kujibu
Kwani madonna anahongwa na maskini? Si matajiri zaidi yakempaka kina madonna wanafurahia kuhongwa,tunaiattend dhambi yetu ya asili!