Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo

bablon6

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
630
Reaction score
566
Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo:

1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu

2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa

3. Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao

4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua

5. Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife

6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa

7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi

8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini.. ,nilikua na mke wangu

Ili mwisho wa siku ukija kupewa mimba na kuterekezwa usije na kauli zako za kusema wanaume wote ni mbwa[emoji23][emoji23]na kama utafikia hatua ya kuwaita wanaume wote hivyo basi anza na kumtaja baba yako ili twende sawa maana sometimes huwa mnakuwaga na ukulunjuma mwingi sana dadeq
 
Hivi mtu mpaka anakuwa mchepuko anakuwa ana tatizo gani
Ni njaa, ni umasikini, ni ujinga ni kudharau au kuwa deseparate sana?
Maana huwa siwaelewi watu wa aina hiyo
Tatizo ni uwiano kati ya wanaume na wanawake! Kuna nchi moja ya Africa imeweka sheria kwa wanaume waliofikia umri wa kuoa, kuoa mke zaidi ya mmoja.
 
Yahitaji moyo na ujasiri sana kama una wivu kupindukia hutoweza, maana utaishia kukonda na mabega yapande tu
 
Tatizo ni uwiano kati ya wanaume na wanawake! Kuna nchi moja ya Africa imeweka sheria kwa wanaume waliofikia umri wa kuoa, kuoa mke zaidi ya mmoja.
Kama kwa bongo hapa uwiano huo hata si mkubwa kama watu wanavo dhani
 
Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo:

1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu

2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa

3. Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao

4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua

5. Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife

6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa

7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi

8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini.. ,nilikua na mke wangu

Ili mwisho wa siku ukija kupewa mimba na kuterekezwa usije na kauli zako za kusema wanaume wote ni mbwa[emoji23][emoji23]na kama utafikia hatua ya kuwaita wanaume wote hivyo basi anza na kumtaja baba yako ili twende sawa maana sometimes huwa mnakuwaga na ukulunjuma mwingi sana dadeq
Mungu hapendi ujue?
 
Nakwann binti mzur,umekamilika, hujawahi kumimbwa ,unakuja tembea na mume wamtu...watu wengine mnajitafutia laana tu ,mwisho msiolewe ,miaka iende, mzalishwe tu ,nahat mkiolewa waume zenu pia wanakua wanachepuka nje.

Shame
 
[emoji23][emoji23] nimekumbuka enzi za ujana..niliwahi achwa kituo ambacho sikustahili kushuka kisa tu mke alipiga simu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani najikuta najichekaga tu
Duhhh basi hongera sana , toka nianze kua nahesabu jamaa zako unaowataja humu , uyu sasa ni watano .mweee aiseeew.

Kuna wale watatu ambao uliwaacha sababu walikuomba mabaya.

Kuna huyu ambaye mpakanukasimulie kisa chake na Eva.

Nahuyu Mume wamtu..watano sasa !!

Baby wewee kiboko eeehhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
 
[emoji134][emoji134][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Back
Top Bottom