Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nasubiria kusoma komenti ya anayechepushwa... MAANA WANAWAKE WOTE MLIOKOMENTI, MMEANDIKA KAMA VILE WOTE NI NYUMA KUBWA TU... Kumbe wengine mpo pande zote... HUKU NYUMBA KUBWA HUKU NYUMBA NDOGOKweli ni utumwa... kwanini wasitafute wa kwao!