Ukiangalia allocation loan haioneshi kitu

vicky fredy

Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
34
Reaction score
1
Mwenye kujua maana ya hii atujuze mara ya kwanza iliandika not secured sasa ukiangalia haioneshi kitu na majina yameongezwa
 
wameingiza data upya na maelezo yake!!!
na kwa wale wasioona kitu yapo matumaini ya kupata mkopo!!!
 
daah mm pia nilikuwa not secured but naw haionyesh kitu kabisa..though mm ni second year
 
Mwenye kujua maana ya hii atujuze mara ya kwanza iliandika not secured sasa ukiangalia haioneshi kitu na majina yameongezwa

Inamaanisha Kuwa Hustahili! Ukiona Manyoya Ujue.......................!
 
tumia pc achana na vi smart phone vinazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…