vicky fredy
Member
- Sep 28, 2013
- 34
- 1
Mwenye kujua maana ya hii atujuze mara ya kwanza iliandika not secured sasa ukiangalia haioneshi kitu na majina yameongezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok tunaahukuruwameingiza data upya na maelezo yake!!!
na kwa wale wasioona kitu yapo matumaini ya kupata mkopo!!!
Mwenye kujua maana ya hii atujuze mara ya kwanza iliandika not secured sasa ukiangalia haioneshi kitu na majina yameongezwa
Lazima ioneshe sababu sio empty kbs, nadhani kuna sababu ya msingi kwa watu ambao haioneshi kitu haimaanishi no loan.Inamaanisha Kuwa Hustahili! Ukiona Manyoya Ujue.......................!