Ukiangalia propaganda wanazotengeneza CCM ni zile za miaka 90 kushuka chini

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Propaganda za CCM ni za kichekesho sana na mtapigwa pesa mpaka mkumo na mwisho wenu unakaribia.

Yani mfano tu kuna watu wanaibuka kuwa wenyekiti sijui jumuia ya wananchi fulani mfano mlivyo fanya kusema waroma wanapinga,bodaboda,vijana na mambo mengine.

Watu smart wanatakiwa kuwekwa mezani zitatuliwe mawazo kwa hatua.

Sasa nyie CcM mkiona chadema imekwenda mkoa fulani mnaenda kupeleka wasanii kutumbuiza alafu mnasema mnajua siasa na amani .Hata haki imewashinda.
 
Tumeona propaganda za 90+ za Chadema kwa uchache;

.Kuchochea vurugu ndani ya nchi
.Kuishutumu serikali kwa kila jambo hadi kupelekea kuichonganisha na wapiga kura wake.
.Kupita na michango ya wanyonge kwa ulaghai wa kukiinua chama kifedha huku fedha za wafitini(Mabeberu) mkivuta pia.

Siasa zinahitajia ukomavu + mikakati na si kukurupuka.
 
Wanaotumia kinyeo chako leo waweke mayonaizi na asali .Maana nasikia mumepuuziwa NIDA
Screenshot_20260629-191243.png
 
Back
Top Bottom