Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mod nakuomba huu uzi usiunganishe
Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na ufanisi wa taasisi au kampuni husika.
Ukiangalia ukwasi waliokua nao wafanyakazi wa bandari binafsi nasupport 100 ibinafsiswe kwa mwekezaji kwa sababu ni ukweli uliokua wazi wafanyakazi walio wengi wanapigania matumbo yao na sio kuongeza ufanisi wa bandarini.
Wako watu watakaopinga lakin serekali imefanya kitu sahihi haiwezekan tunakuw na role model wa watoto wetu ni wafanyakazi wa sehemu husika mishahara yao ni ya kawaida ila ni mabilionea.
Madhara yake tunatengeneza kizazi kinachoamin shortcut, rushwa na connection, kamwe kizazi hiko hakiwez amini kujituma ili uwe tajiri.
Serekali ijukite kwenye kukusanya kodi na sio bandari hata mwendokasi atafutwe mwekezaji waachane na watu wababaishaji
Na kwa sekta kama TRA ambazo huwezi binafsisha wawe wanafanya thoroughly Lifestyle auditing sababu TRA alone kuna mabilionea kibao ambao utajir wao hauna maelezo ya kujitosheleza na imagine hawa ndo role model wa watoto wetu