Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Wasalaam,
Ukisikiliza matamshi ya viongozi wa CCM wa sasa wengi utagundua kuwa hawa sio viongozi bali ni genge la wahalifu maana matamshi yao ni kuua na kupoteza watu kisa uchaguzi!
====
Maneno haya yalitolewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM (UVCCM) Kheri James, Januari 29, 2018 wakati akifanya uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi mdogo katika kata ya Buhangaza, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera ambapo chama hicho kimpa nafasi mgombea wake Jenitha Tibihenda kupeperusha bendera yake.
Source: Millard Ayo