Ukianza kufanikiwa Tu Shida zinaanza

Ukianza kufanikiwa Tu Shida zinaanza

Kama umewatoa kafara kweli basi ni vema kuchutama mana kuna eazee wanajua kifo cha kafara. Kikubwa mrudie mungu kabla kafara haijahitaji damu yako. Acha janja janja.
NB
Maelezo yangu yatakuwa ya kweli kama mtu ametoa kweli kafara.
 
Unapobarikiwa na wewe wabariki wengine mkuu. Mungu hawezi kwenda kijijini kwenu kuwapa pesa ndio maana ameamua kuzipitishia kwako. Cha maana wema usizidi uwezo.

Ndugu wataanza kupiga simu mjini kuomba pesa ndogo ndogo. Japo hapo awali walikua hawapigi ata simu.

Kikubwa tuwapee pesa tuu kuongeza mzunguko
 
Back
Top Bottom