Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Msagaji wewePunguani
Kwenye huo muda kuna mwamba anaisugua , na anapaka na mate kama kilainishi kwa wivu mkubwa bwasheeMwanamke anayejitambua humpa muda mtongozaji ili ajifikirie
Nasikia simba kaachia chumq cha piliKwenye huo muda kuna mwamba anaisugua , na anapaka na mate kama kilainishi kwa wivu mkubwa bwashee
Yeah acha nile pombe bwasheeNasikia simba kaachia chumq cha pili
Uko sahihi. Hawa wa kukusumbua kwa nyakati hizi hawafai. Muda upo kasi sanaMwanamke wakunisumbua na ameshanielewa na mwona mzugaji na mnafki , mambo ni mengi kama kanielewa anasema tu yes chap , mambo ni mengi mda mchache.
Mno bwashee, mimi siwazi mara mbili nawatia block tu kmmmkeUko sahihi. Hawa wa kukusumbua kwa nyakati hizi hawafai. Muda upo kasi sana
Hiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi
1.Una pesa
2.Mfanyakazi
3.Kastaafu umalaya anatafuta wa kustaafia
4.Anataka ndoa ili amiliki mali ulizo nazo wale pamoja na watoto wake ili wewe upigwe chini
5.Amekuona una akili ndogo
My bro huyo hajafuata upendo wako
Mwanamke anayejitambua humpa muda mtongozaji ili ajifikirie