Ukianza kumtongoza Mwanamke na akakukubali haraka, jitathmini!

Nyuzi nyingine zinipite tu sina ta cha kuchangia apa, thinking out loud.

Hivi kwa maisha yalivo resi maninja wanawaza mitongozo ebanaee
 
Kingine ni either ana maradhi hasa HIV, hawa huwa hawaringi hata awe mzuri kiasi gani, njaa nayo humfanya mwanamke awe rahisi, unakuta anacheza michezo ya kupeana fedha, yako VICOBA lazima atoe tu nyapu ili kupata fedha za marejesho
 
I second this, was about to say the same thing.

Hizi idea za wanawake wakibongo kukuzungusha unapomtongoza ni za kiwack sana, huwezi kuona kwa wenzetu.
Ni njaa na tamaa pia zinachangia wanatafuta kupata pesa, ila ni upumbavu sana.
 
Ni kweli, lakini mwanamke na yeye ni binadamu, kuna ile umekutana na mwanamke hata bila kumsemesha anapata mchecheto, hakujui humjui. Mambo hayawi mengi kwenye scenarios kama hizo mkuu.
Tatizo ni kwamba wanaanza kuomba pesa nao kwa hiyo inakuwa ni mchanganyiko mtupu, mtu anabaki hajui kama amekubalika au ni pesa tu inatakiwa😁.
Inatakiwa wakati wakimzungusha mtu wasiombe pesa.
 
Sikuhizi bado mnatongozana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…