Ukianza kumtongoza Mwanamke na akakukubali haraka, jitathmini!

Tatizo ni kwamba wanaanza kuomba pesa nao kwa hiyo inakuwa ni mchanganyiko mtupu, mtu anabaki hajui kama amekubalika au ni pesa tu inatakiwa😁.
Inatakiwa wakati wakimzungusha mtu wasiombe pesa.

Mwanaume ukikaa mwenyewe kujiuliza, umependwa wewe au pesa, unakosa majibu. 😊
 
Ni njaa na tamaa pia zinachangia wanatafuta kupata pesa, ila ni upumbavu sana.

Pesa imeshaharibu mapenzi siku hizi. Siku hizi ukiwa huna pesa unakimbia wanawake. Ukizipata ndio unarudi tena kwenye mfumo. 😊
 
Hujawahi hij kuijua

Wengi akikubali fasta anataka umpe nafasi hataki kusikia hoja yako kwa hiyo akikubali fasta ukimfuatilia anaruka kama tandala 🤣🤣
 
Mimi uwa natongoza maramoja tu , akikataa fresh tu akikubali uhakika ,
Sina time ya kubembeleza kitoto cha mtu.
 
Manapata taabu sana,mi namwambia tu,nna 20, au 30,kulingana na nnavyomuona,twende ukanipe mambo mpaka monie,akikubali poa,
Akizingua na kuleta longo lingo namwambia gudubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…