#COVID19 Ukichanjwa siyo kwamba hutougua, bado utaugua na kifo hakikwepeki

#COVID19 Ukichanjwa siyo kwamba hutougua, bado utaugua na kifo hakikwepeki

Khadija Mtalame

Senior Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
185
Reaction score
715
Habari wanajukwaa;

Napenda kutoa ufafanuzi kidogo kwamba

Chanjo iliyoanza kutolewa Ni covid viral living matter ambae anawekwa kwenye mwili wa binadamu Kupambana na viral aliepo mwilini,

Hivyo ,ukidungwa chanjo hiyo,ikakutana na viral aliepo mwilini tayari ana nguvu hapo ndo utasikia,kwamba mtu kachomwa chanjo na anaumwa(hapo Ni kwamba yule mdudu uliewekewa kazidiwa nguvu na viral aliepo mwilini mwako kutokana na immune yako kuwa chini

Hivyo twashauriwa kula vizuri pia tuepuke stress,hii inasaidiq kuuweka mwili wako ktk Hali salama na Safi kabisa,endapo hata Kama utapokea chanjo,itasaidia kuliweka strong wakati viral wanapambana kutengeneza Kinga!

Kwa hiyo,napenda kumaliza kwa kusema kwamba, ile chanjo unayochanjwa Ni kwamba unawekewa mdudu ambae anafanana na corona na ambae atakuwa na nguvu kuliko wa corona,wakiwa wanapambana uliewekewa atashinda na kifo litakuwa historia!

Lakini, chanjo itakwua thabiti tu Kama unakula vizuri na unafanya mazoezi!

Mwisho ,ukichanjwa bado utaugua tu!

Hivyo,tile vizuri na tuzilinde afya zetu

Naitwa Khadija(mtaalamu wa lishe na afya ya binadamu -SUA)
 
Labda ungejikita tu kwenye fani yako ya lishe,maana hayo mingine umevuruga kabisa yaani unachomwa mdudu anayefanana na wa Corona? apambane na wa corona?😂😂😂😂
Nadhani hujui maaana ya chanjo,

Tumia smartphone yako vizuri Google na upate majibu,unadhani chanjo ni dawa?
 
Mkuu,
Ngoja nikusaidie kidogo,
Virus anayeingizwa kwenye mwili wa binadamu walati wa kuchomwa chanjo ni virus ambaye anakuwa kaondolewa baadhi ya sehemu zake zenye sumu au zenye kumfanya azaliane,

Kirusi huyo anapoingizwa mwilini, mwili hujaribu kumshambulia kwa kuzalisha kinga nyingi zaidi ya kuua kirusi wa aina hiyo,

Hivyo basi lengo la kuchomwa chanjo ni kuuonhesea mwili kinga dhidi ya kirusi husika,

kisayansi hairuhusiwi mgonjwa (mtu ambaye tayari ana corona virus kwenye damu) kupata chanjo mpaka pale atakapo tibiwa na kupona,

Kusema kwamba virus wa chanjo anamuua virus wa corona sio sahihi ni sawa na kusema chanjo ni fawa ya kuua virusi vya corona,

Kuhusu Lishe nakubaliana nawewe na nakuunga mkono, maana kinga ya mwili hutengenezwa kwa protein na virutubisho vingine
 
Ama kweli wewe ni KHADIJA.

Wafuasi wa MUDI ni bure kabisa!
 
Nimeishia hapo kwenye "kukutana na viral aliyeko mwilini mwako" ok!

Na kama chuo kikuu ndio wanatoa watu wa hivi sishangai maprofesa wakisema wametolewa jalalani
 
Kuhusu mtu kuchomwa chanjo na kupata maambukizi ya corona, hii inaweza kutokea ndio lakini ni marachache sana,

Kumbuka chanjo imeundwa na kitusi wa korona aliyeondolewa sumu na uwezo wa kujizalisha,

Inaweza kutokea virus huyo akafanya mutation na kujizalisha kwa wingi na kumsababishia mchanjwa kupata virus vya korona

Kuhusu umuhimu wa kuepuka stress maana yake ni kwamba mtu mwenye stress hupoteza hamu ya kula na kumfanya aukoseshe mwili virutubisho vitumikavyo kuzalisha kinga ya mwili
 
K
Habari wanajukwaa;

Napenda kutoa ufafanuzi kidogo kwamba

Chanjo iliyoanza kutolewa Ni covid viral living matter ambae anawekwa kwenye mwili wa binadamu Kupambana na viral aliepo mwilini,

Hivyo ,ukidungwa chanjo hiyo,ikakutana na viral aliepo mwilini tayari ana nguvu hapo ndo utasikia,kwamba mtu kachomwa chanjo na anaumwa(hapo Ni kwamba yule mdudu uliewekewa kazidiwa nguvu na viral aliepo mwilini mwako kutokana na immune yako kuwa chini

Hivyo twashauriwa kula vizuri pia tuepuke stress,hii inasaidiq kuuweka mwili wako ktk Hali salama na Safi kabisa,endapo hata Kama utapokea chanjo,itasaidia kuliweka strong wakati viral wanapambana kutengeneza Kinga!

Kwa hiyo,napenda kumaliza kwa kusema kwamba, ile chanjo unayochanjwa Ni kwamba unawekewa mdudu ambae anafanana na corona na ambae atakuwa na nguvu kuliko wa corona,wakiwa wanapambana uliewekewa atashinda na kifo litakuwa historia!

Lakini, chanjo itakwua thabiti tu Kama unakula vizuri na unafanya mazoezi!

Mwisho ,ukichanjwa bado utaugua tu!

Hivyo,tile vizuri na tuzilinde afya zetu

Naitwa Khadija(mtaalamu wa lishe na afya ya binadamu -SUA)
Kama msomi wa chuo kikuu anajenga hoja nyepesi namna hii si ajabu unapohitimu mkadai ajira Hamna. Ok fine ukichanjwa utaugua na kufa, na usipochanjwa hautokufa? Ama utakufa? Na endapo jibu ni kwamba utakufa wewe kama msomi na mtaalamu unafikiri ni nini kifanyike? Unadhani kama Kula kungekuwa ni suluhisho hawa matajiri wanaokufa Leo wangekufa? Unadhani wameshindwa kumudu gharama za hivo vyakula?
 
Back
Top Bottom