Ukicheza na stress utakufa

Ukicheza na stress utakufa

Inakuwaje wanajamvi!

Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).

Hasa stress ya kufulia huna hela ama stress ya kugongewa waifu ama demi stress za usaliti na kudhulumiwa.

Ukicheza na kuendekeza stress bila kuchukua njia mbadala za kuidhibit utakufa kizembeeee.

Ndo maana mimi na njia zangu mbadala za kuchallange stress.

Njia ya kwanza na muhimu na imenisaidia Sana kupambana na stress ni uvutaji wa sigara, bangi na other 'stronger substances'. Kwa kweli haya mavitu yamekuwa msaada Sana kwangu. Yani Kila nikiyatumia IQ yangu inatengamaa. You just feel like the world is revolving around you and you have that sense you are breathing flavored oxygen. Mawazo Yako yanakutuma tu kufikiria to make the world a better place for future generations.

Njia ya pili ni kuwawin members jamvin kisaikolojia. Yani unamkuta member flani mnyonge unamuapproach kidesign na k up mprovoke na kumkera. Anapokujibu kwa kukutukana Ndo furaha Yako. Yani unafurahi kichiz stress inatoweka. Wiki iliyopita nilimvaa member Ezekiel Mbaga Yani nilivyotukanwa ilikuwa mfululizo wa matusi ya hatari. Nilifurahi kichiz nakurukarika.

The stress challenger.

Prince Kunta wa kupuliza hydroxo Ncha Kali Glenn Chaliifrancisco
Nilikuwa na stress yakutokujikubali kama na lea two kids lakin baada ya kupata job stress zilipotea zote siwazi chochote zaidi naona mungu amenibariki3 na hawa watoto vile nikirud wananirukia na kunidekea
 
Joannah soma huu uzi wake ,amesema wazi kuwa yeye mtu wa Sigara na Mabange ..pongezi kwa Maghayo kwa kuvumbua kipaji hiki bado utatanua wigo wa kusajili vijana wapya katika genge lako ovu .
 
Kwani hii ni ID yake nyingine?
Yah 100% ,akiibuka huyu Kaka mkubwa Ghayo anapotea , mods walifuta uzi wangu wenye ushahidi wa kushiba kuthibitisha kuwa huyu na Ghayo ni msitu mpya nyani wale wale..
 
Inakuwaje wanajamvi!

Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).

Hasa stress ya kufulia huna hela ama stress ya kugongewa waifu ama demi stress za usaliti na kudhulumiwa.

Ukicheza na kuendekeza stress bila kuchukua njia mbadala za kuidhibit utakufa kizembeeee.

Ndo maana mimi na njia zangu mbadala za kuchallange stress.

Njia ya kwanza na muhimu na imenisaidia Sana kupambana na stress ni uvutaji wa sigara, bangi na other 'stronger substances'. Kwa kweli haya mavitu yamekuwa msaada Sana kwangu. Yani Kila nikiyatumia IQ yangu inatengamaa. You just feel like the world is revolving around you and you have that sense you are breathing flavored oxygen. Mawazo Yako yanakutuma tu kufikiria to make the world a better place for future generations.

Njia ya pili ni kuwawin members jamvin kisaikolojia. Yani unamkuta member flani mnyonge unamuapproach kidesign na k up mprovoke na kumkera. Anapokujibu kwa kukutukana Ndo furaha Yako. Yani unafurahi kichiz stress inatoweka. Wiki iliyopita nilimvaa member Ezekiel Mbaga Yani nilivyotukanwa ilikuwa mfululizo wa matusi ya hatari. Nilifurahi kichiz nakurukarika.

The stress challenger.

Prince Kunta wa kupuliza hydroxo Ncha Kali Glenn Chaliifrancisco Moisemusajiografii Magonjwa Mtambuka
....You've nailed it yourself. It is just a feeling not a reality !.. check your Mental health quick !....[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom