Ukicheza Simba SC hakuna lisilowezekana - Pape O. Sakho athibitisha kwa vitendo

Ukicheza Simba SC hakuna lisilowezekana - Pape O. Sakho athibitisha kwa vitendo

Kule BBC sports pia ni habari kubwa .... "...Long-standing Senegalese boss Aliou Cisse won coach of the year, with his side named men's team of the year, while Pape Sarr was named young player of the year and another Senegalese, Pape Ousmane Sakho, won best goal for his overhead kick for Tanzanian side Simba..."
Haya ndiyo mambo twataka yasikia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wazungu wanasema; The Sky is the Limit.

Hii kauli itatimia kwa mchezaji wa mpira wa miguu yeyote atakayejitahidi aichezee klabu ya Simba ya Tanzania.

Alianza Samatta, kutoka Simba SC akaenda Mazembe, baada ya hapo akawa mfungaji bora na kuitangaza nchi kimataifa mwishowe akaenda zake Ulaya.

Jana usiku mchezaji kutoka Senegal, Pape O. Sakho, ametambulishwa kwenye ulimwengu wa soka duniani kupitia Simba SC, nina hakika huyu Sakho kuna raia wa Senegal waliokuwa hawamfahamu kabisa.

Lakini nguvu ya mashabiki wa Simba SC mitandaoni, hawa wapenzi, wanachama na mashabiki wa Simba kwa umoja wao wakiungana kusimamia jambo lao, hakuna yeyote wa kuwazuia, sio tu hapa Tanzania, au Afrika Mashariki na kati, bali ni kwa bara zima la Afrika.

Naandika haya sio kwa kusifia bila sababu, hapana, yeyote anayeona sina sababu aende akaangalie idadi ya followers ya mashabiki wa Simba SC kwenye mitandao, aanzie FB, aende twitter, kisha akamalizie na Instagram halafu alete majibu hapa.

Hata huyu jamaa yao aliyepigwa "rungu la utosini" jana na Kamati ya Maadili TFF, sehemu kubwa ya followers wake anaotamba nao leo, aliwapata akiwa Simba SC, this is the truth, usirushe ngumi mtani!
Rungu la utosini🦁 mmempiga Kwa wivu wa mafanikio yake ndani ya mabingwa wakihistoria🤔
 
Top Scorer CAF. Mrisho Ngassa-Yanga 2014
FB_IMG_1658471450481.jpg
 
Hata huyu jamaa yao aliyepigwa "rungu la utosini" jana na Kamati ya Maadili TFF, sehemu kubwa ya followers wake anaotamba nao leo, aliwapata akiwa Simba SC,
Acha uchokozi aisee..
 
"Tanzanian Side Simba" this is from BBC.

Sasa hebu zunguka huko ulimwenguni uwaulize kama wanaijua utopolo?!

Wakikuuliza ndio nini hicho, waambie ni aina ya vyura wa kipekee wanaopatikana Tanzania.
🤣🤣🤣
 
Jaribuni kutohusisha Simba kwenye hili swala la Sakho kubeba tunzo,mkihusisha Simba kuna watu wanaumia wanateseka maumivu wanayopata ni makubwa mno.
Tena wateseke na kuumia ndani kwa ndani hatuhitaji kusikiliza kelele zao.

Watuacheeeeeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena wateseke na kuumia ndani kwa ndani hatuhitaji kusikiliza kelele zao.

Watuacheeeeeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna shabiki wa mnyama yupo tawi la Yanga muda huu anawaingiza kingi anawapa ushahidi wa undugu wa damu wa Sakho na Sadio Mane[emoji23][emoji28].
Na Uto yalivyo mazuzu eti yamekaa kimyaa yanamsikiliza[emoji23][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh hiyoooo.
 
Kule BBC sports pia ni habari kubwa .... "...Long-standing Senegalese boss Aliou Cisse won coach of the year, with his side named men's team of the year, while Pape Sarr was named young player of the year and another Senegalese, Pape Ousmane Sakho, won best goal for his overhead kick for Tanzanian side Simba..."
Usithubutu kutafsiri ulichoandika waache hivyo hivyo manake pale wenye akili watakaoelewa ulichoandika ni wawili2 Baba yake Manyara pmja na Muheshimiwa JK, hao waliosalia hawaijui hta BBC
 
Nikweli Ukichezea Simba hakuna linalo shindikana, kitendo Cha kufanya mambo ya kishirikina uwanjani Kwa kuwasha moto Tena ugenini nimeamini Kwa Simba hakuna linalo shindikana.
Mnateseka sana mkiwa uchochoro gani?
 
Hatimae kombe limepatikana
Tulishayabeba ya ndani sana mpaka tumechoka, tunasubiri la klabu bingwa Afrika ndio tukodishe basi la wazi, sio nyie mnakodisha basi kwa kombe Simba SC walilochoka kulibeba...
 
Usithubutu kutafsiri ulichoandika waache hivyo hivyo manake pale wenye akili watakaoelewa ulichoandika ni wawili2 Baba yake Manyara pmja na Muheshimiwa JK, hao waliosalia hawaijui hta BBC
Aisee..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan lazima utake kulaonesha una furaha, akati ni maumivu na mateso mwanzo mwengaaaa.??

Byuti byuti.
Na haya maumivu hayamalizwi na Panadol..sharti watuliee mpaka yaishe yenyewe.
 
Back
Top Bottom