View attachment 1974050
Wazandiki wanadai pamoja na kupenda kuvaa nguo za gharama lakini jinsi anavyopose na kujibeba akitembea vinaharibu uzuri wa nguo zake.
Brown Hair ndio vininiSio tu kuchanganya damu na mwafrika ila kwenye familia ya malkia kama hauna brown hair ujue kazi unayo
zile nywele zao ambazo si black, kama gold flani hivi yani kwa malkia bila hizo nywele ata ungekuwa mweupe vipi lazima wachunguze uzao wako tuBrown Hair ndio vinini
duhzile nywele zao ambazo si black, kama gold flani hivi yani kwa malkia bila hizo nywele ata ungekuwa mweupe vipi lazima wachunguze uzao wako tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]umevunja mkuuWaingereza ni Waswahili walichangamka Yaani watu wale ni wakuda balaa Yaani wambea wambea wanapenda kufuatikia maisha ya watu na kuyajadili ,hiyo Tabia mbaya wameiacha hata Kwenye makoloni Yao Kama India na Tanganyika ikiwemo!
Kama huamini angalia magazeti Yao na majarida ya udaku ndio utawajua waingereza vizuri
hahaahaaa zile za
' Mganga wa diamond Toka kigoma anena mazito'!
Pale London utakuta
How Mergan Vodoo Wizard from Haiti traped Prince Harry!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]