Ukichukiwa kama Meghan hakuna zuri utafanya lionekane

Ukichukiwa kama Meghan hakuna zuri utafanya lionekane

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1634211218699.png

Wazandiki wanadai pamoja na kupenda kuvaa nguo za gharama lakini jinsi anavyopose na kujibeba akitembea vinaharibu uzuri wa nguo zake.
 
Mbona mi nimechukiwa na wengi na hata sasa bado nachukiwa na baadhi ya Watu ila nimefanya mengi mazuri na bado nitaendelea kufanya zaidi ya haya?

Jamani tuwe wakweli huwezi kupendwa na kila Mtu ktk dunia hii, hata Manabii, Mitume hawqkupendwa wote.
 
Waingereza ni Waswahili walichangamka Yaani watu wale ni wakuda balaa Yaani wambea wambea wanapenda kufuatikia maisha ya watu na kuyajadili ,hiyo Tabia mbaya wameiacha hata Kwenye makoloni Yao Kama India na Tanganyika ikiwemo!
Kama huamini angalia magazeti Yao na majarida ya udaku ndio utawajua waingereza vizuri
hahaahaaa zile za
' Mganga wa diamond Toka kigoma anena mazito'!

Pale London utakuta
How Mergan Vodoo Wizard from Haiti traped Prince Harry!
😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom