ukidanganya tu lazma uumbuke

ukidanganya tu lazma uumbuke

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,805
nakumbuka kwenye intervieuw ya mama mkwe wa Alikiba amesema eti mwanay yule aliyeolewa ni wa tano kati watoto wa 4 .. na ana miaka 23 wakati anamiaka 29 . povu rukhsa....#####
 
Post imetelekezwa na wadau.. Ni baada ya kugundu mtoa Uzi ana wivu kama wa Kidoti.
 
nakumbuka kwenye intervieuw ya mama mkwe wa Alikiba amesema eti mwanay yule aliyeolewa ni wa tano kati watoto wa 4 .. na ana miaka 23 wakati anamiaka 29 . povu rukhsa....#####
Hivi Esha Buheti ndo nani?
 
nakumbuka kwenye intervieuw ya mama mkwe wa Alikiba amesema eti mwanay yule aliyeolewa ni wa tano kati watoto wa 4 .. na ana miaka 23 wakati anamiaka 29 . povu rukhsa....#####
Naomba nione kadi yake ya kliniki kama unayo
 
Duh,mpaka mtu unafatilia vitu kama hivi,miaka,tarehe,idadi ya watoto,etc of some random human being wakati hata hujui mwaka wa mzazi wako binafsi is just pure witchcraft aisee!
 
Yo such a funny gentle, but kuna mwenzio alivishwa nepi badala ya khanga.....
Wanaume huwa hatukui/hatushabikii na hizi mambo za kikeni
 
Back
Top Bottom