Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Esha Buheti ndo nani?nakumbuka kwenye intervieuw ya mama mkwe wa Alikiba amesema eti mwanay yule aliyeolewa ni wa tano kati watoto wa 4 .. na ana miaka 23 wakati anamiaka 29 . povu rukhsa....#####
MuigizajiHivi Esha Buheti ndo nani?
Naomba nione kadi yake ya kliniki kama unayonakumbuka kwenye intervieuw ya mama mkwe wa Alikiba amesema eti mwanay yule aliyeolewa ni wa tano kati watoto wa 4 .. na ana miaka 23 wakati anamiaka 29 . povu rukhsa....#####
kadi ipo mama yule kachizikaNaomba nione kadi yake ya kliniki kama unayo
yoooooooooooohDuh,mpaka mtu unafatilia vitu kama hivi,miaka,tarehe,idadi ya watoto,etc of some random human being wakati hata hujui mwaka wa mzazi wako binafsi is just pure witchcraft aisee!
yooooooooooooh Gubu kiba.Yo such a funny gentle, but kuna mwenzio alivishwa nepi badala ya khanga.....
Wanaume huwa hatukui/hatushabikii na hizi mambo za kikeni
Hata huyu ilimpasa kuvaa.Yo such a funny gentle, but kuna mwenzio alivishwa nepi badala ya khanga.....
Wanaume huwa hatukui/hatushabikii na hizi mambo za kikeni
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hata huyu ilimpasa kuvaa.