Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu ukute mwamba ni dereva malori na ana familia yake hukoo mkoaniUzi tayari View attachment 3089438
Mbona umepost mfu?😂😂😂Uzi tayari View attachment 3089438
😰😰😰 daah aiseeeUzi tayari View attachment 3089438
Kuna nyingine akiwa macho nadhani hawa wameamua kuingia mjini kwa style hii.Sasa kwanini amvizie kalala 😂😂
KaushaInaonekana huyo dem hajapigwa show ya nguvu otherwise na yeye angekuwa amelala.
Pale mwisho mwisho kashtuka.Hahaha! Jamaa hata kushtuka, kidogo kweli hiyo lala fofofo!.
Umenikumbusha,
Kuna jamaa alilala hivo ndugu zake wakamuwekea mende mdomoni ile anashtuka puuh ameshamtafuna. Ilikua ugomvi
Inawezekana kabisa, mwamba anaonekana mtu mzimaAlafu ukute mwamba ni dereva malori na ana familia yake hukoo mkoani
Hatari aisee[emoji1][emoji1][emoji23]
Makada wa ccm Kwa kujisahau, hasa hilo jamaa lilijisahau vipiUzi tayari View attachment 3089438
Ni utoto tena hako kabinti kanaonekana kachadema na hilo lijamaa litakua lana ccm kabisa maana ndio yanapenda watoto wadogoHii mambo kuimba imba kujipost naona utoto wa hali ya juu, sijui watu wanawezaje.....🙌
Vijana na ujana wao