Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa
Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga
Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi
Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni
Nenda na mtr yako..na usiwambie kama una MITA yako malizeni ku bargain sh ngapi kwa futi mkifika kupima toa yako
Ukiona ukagoma hao n WEZI na majambazi wakimbie mpendwa
Kwenye kila MITA Moja mpaka 20
HAPO KUNA MITA 18 tu
Wanachofanya zile MITA zao wanazikata katikati
Eg
1-15
Wanakata8-10
Inaungwa kwenye 11-nk
HAPO kila mbao wanaondoka na pesa ya maana
NDugu ukinunua nyingi kilioo mpendwaaaaaaaa
Mjitahidi mkinunua MNALOO nendeni na Mita zenu