Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Ukristo umegubikwa na "uongo" mwingi sana.Naona hatuelewana unajarbu kwa nguvu zote kuhalalisha miujiza na uponyajiii..ukwel utabak kuwa zama hiz hakuna nabii,mtume wala nn awo wote ni majizi tu hata watumie biblia gani
Narudia, T.B. Joshua haponyi, ananunua wasanii na kuchezea watu akili tu. Do your investigation, utasikia mengi ya ajabu zaidi ya haya nikuambiayo juu yake.Unaenda nje ya mada: ukiombewa(na mhubiri au mtu yeyote yule), ukapona, usitende dhambi tena.
Vikinge? Sishangai kwakuwa shetani naye hufanya miujiza. Si unakumbuka wachawi/waganga wa Farao walivyoigiza miujiza aliyofanya Mungu kupitia kwa Musa?Bible reference yann huoni kuwa babu zako waliomba mvua ikanyesha,mpka sahv watu wanakesha kwa vikinge na wanapona tena miujiza ya nguv kulko ya awo wajiitao wachungaj
Usisahau mkuu, huu uzi sio wa kumjadili T.B. Joshua. Main point ya hii thread ni kwamba ukiombewa na mtu yeyote ukapona, usitende dhambi tena ili lisikupate jambo lililo baya zaidi.Narudia, T.B. Joshua haponyi, ananunua wasanii na kuchezea watu akili tu. Do your investigation, utasikia mengi ya hajabu zaidi ya haya nikuambiayo juu yake.
Hivi mtu akifariki unawezaje kusema kwamba unataka kuthibisha kifo chake?,Ina maana inaweza kuwa hajafa kweli??Taarifa za kufa kwake Joshua zimeshathibitishwa?
Unataka athibitishe nani? KadanchaTaarifa za kufa kwake Joshua zimeshathibitishwa?
Na kwa kuwa tukio limeshapita mkuu, kimuktadha, ni heri nikurushie taulo tu!Hivi mtu akifariki unawezaje kusema kwamba unataka kuthibisha kifo chake?,Ina maana inaweza kuwa hajafa kweli??
πππππNakubaliana na wewe kwa 100%. Ukristo umegubikwa na "uongo" mwingi sana.
UKRISTO wa kweli umeachwa umebakia uongo na udanganyifu.
Watu wanaojiita Manabii wanahubiri ukristo wa uongo ili wajipatie pesa na mali.