Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

Wanafiki wataingizwa Jahanam ya chini kabisa jihadhari usiwe mmoja wao.
Kwanza huna maarifa ya kujua tofauti ya uchawi na shirk wewe ni mpumbavu namba 21

Eti "Kma ulivosema ni kweli hapo ni uchawi tu huo hamna kitu kingine na Mungu katika kitu ambacho hakipendi ni shirki"

Unaoanisha vitu viwili tofauti kwa kudhani ni kimoja unafiki gani unaojisifia hapo?
Una utakatifu gani wewe wa kujua upo kwenye njia iliyonyooka?

huna tofauti na mpuuzi mwenye kusema lile ambalo halijui mwanzo wala mwisho wake "Asilimia yenu kubwa ni wapumbavu japo wamo katika nyinyi wenye hekima na hao ndio watakao pata mwisho mwema sio wewe mnafiki wa kusahau "walmunafiquna fi nar jahanam (TENA WANAFIKI WATACHOMWA MOTO WA CHINI KABISA)

Wapo katika nyinyi wanao wasikiliza wanazuoni na kisha wakajenga nao hoja...
Na wapo katika nyinyi wanaowasikiliza wanazuoni kisha wakawaua kwa misingi ya historia....
Na nyie ndio wenye kusababisha waislamu kuonekana magaidi.....

kujiitaa ansaar hakukufanyi wewe kuwa ansaar wala kujinadi wewe salaf hakukufanyi wewe kuwa Salaf kamili hivyo hivyo kwa waislam unavyowaona ni waislamu wengine majina tu..
wewe ni kina kila wa kala wala usijiite Ansaar kwa maana hata ansaar wenzio watajua kwa nini nimekwambia hivi...

Hakuna Ansaar ambaye hana hekima ya hoja wewe ndio wa kwanza na Bye the way unatofauti gani wewe na mashiah?

Rakims
 
Kama haitoshi anasema yote hapo ni ushirikina Hadi jina la Mungu na malaika wake yapo hapo anasema ni Ushirikina hivi hawa wana Mungu wao wenyewe au ni vipi yaani?

Rakims
 
Ujinga ukizidi ndo unakua kma ww


Embu twambie wapi tumeambiwa tutumie iyo talasimu ulosema embu niletee hadithi au aya ata moja inoruhusu kutumia matalasimu

Hlf usipende kupinga pinga vitu usivokua na Elimu navyo
Akikujibu na wewe niambie wapi tumeambiwa waislamu waitane washirikina wao kwa wao au wewe una dini yako ni Mungu wako?

Rakims
 
Uchawi ni ulozi huo wa kawaida unaoujua, ushirikina ni kukipa sifa za uungu kisichokua Mungu mwenyezi
Sahihi ni Sahihi tu hata kama hakuna anaejua na Makosa ni makosa tu hata kama watu wote wanafanya....
Kuna kafiri hapo limenikufurisha hata halijua nimetokea wapi linajivika kivuli cha salafi kama salafi wote wapo hivyo tupo kwenye hasara...

Rakims
 
Sifuti ukweli lazima usemwe tuu

Nani kasaidika na hizo shirki zake?
Wewe kigoda hii makala sio yangu nimekujibu kutegemea na ulichoandika halafu mwisho wa siku nisijekuwa nachanganyikiwa kwa maana naongea na kigoda changu cha motoni.....

Mwisho wa yote vichaa hawaandikiwi zambi kwa hivyo twende tu.

Rakims
 
Leta andiko la Biblia kuthibitisha hayo uliyoyasema.
Mathayo 7:21
Si kila mtu aniambiaye, 'Bwana, Bwana,' atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.?????

Rakims
 
Wamaalifatu dinu biadila.
Manhaji iliyosalimika.

Me ni nawakubali sana masalafi sema dunia tu inanihadaa sana.
Hongera sisi wengine Tumekubali kumfuata mtume ambaye aliyekuwa laini na Rahimu kwa kila mtu hadi wengi wakatamani kumfuata.....

Binafsi simkubali mtu anaemuita baba yake kafiri kisa yeye kasilimu... Tunamitizamo tofauti sana ndio maana tukagawanyika makundi makundi na In shaa Allah mwenyezi Mungu ajalie mwisho wetu sote liwe ni Kundi ambalo yeye Mwenyezi Mungu ataridhia nalo....

Ila huyu ndugu yako Akhii ni kafiri kufurah shirki.... na atakuwa kigoda changu cha motoni either aombe radhi kwa dhana aliyoniwekea.

Rakims
 
Hua nashangaa sana kuona mtu akiamn ujinga huu.
Kama wewe ni Mkristo yah ni Ujinga asilimia mia 600....
Lakini kama wewe ni Muislam kuna kitu ukikiona humo ama hata kama ni mkristo mwenye kujua kiarabu lazima tu utasita kusemea baya..

Rakims
 
Hapana kuna wanazuoni wao wana hekima kuliko wao hawa ni wale kila wa kala yaani wao hata sheikh wao akisema leo wote twendeni chooni hawafikirii chochote wanaenda.

Japo wapo katika wao wanahekima na ni Masalafi salafi hasa yaani wako sahihi ila kuna huyu akhii kashapigwa na jua la mchana tabora kaona ngoja nikawaite watu washirikina kwenye JF.

Rakims
 
Wewe ni mtoto sana katika elimu ya dini na pia uandishi wako tu unaonyesha ni kijana aliyepigwa na maisha kiasi cha kwamba hajielewi..

Mwenzio kaandika Mtume S.A.W unamkosoa halafu wewe unaandika Mungu kama kweli wewe ni salaf huwa wanakaitikadi ka uandishi kuwa Mungu ni Allah...

Vile vile wako sawa shida kwako wewe dogo hujasoma umeokota okota elimu kisha unashare na Sheikh Google ndio unazidi kupotea kabisa.

Neno Mungu lina wingi Miungu ina maana kwa kusema hivyo umemaanisha Moja kati ya Miungu wengi waliopo ulimwenguni ndio alimpa uwezo suleiman...

Ulitakiwa ujibu ni Mwenyezi Mungu kupitia Malaika Gabriel (Jibril As) pia ulitakiwa uweke aya ambayo inaendana na jibu ili hata ambaye hajui ajue....

Dogo tafuta mwalimu mzuri usipotoke na wasema hovyo weka aya kama


Acha kukurupuka dogo utajikuta unachekwa sema:

Mwenyezi Mungu (kidogo watu wataelewa umemaanisha mmoja) kama vile unavyojinadi upo salafi....

Ungelink aya kama hizi;

Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi.
An Nisaa 163

Quran: An-naml 15
Na hakika tuliwapa Daudi na Sulaiman ilimu, na wakasema: Alhamdu Lillahi, Kuhimidiwa kote ni kwa Mwenyezi Mungu aliye tufadhilisha kuliko wengi katika waja wake Waumini.

Quran: An-naml 16
Na Sulaiman alimrithi Daudi, na akasema: Enyi watu! Tumefunzwa usemi wa ndege, na tumepewa kila kitu. Hakika hii ni fadhila iliyo dhaahiri.

Hivyo ungetoa aya zinazorelate na maelezo yako sio unajibu kama umetoka kulamba mihogo

Rakims
 
Una uhakika gani hayo mafungu hayajapotoshwa?

Unajua ukishasema andiko limepotoshwa, hutakiwi kuamini chochote kilichoandikwa humo.

Sasa ukishasema Yesu hakuwahi kusema Yeye ni Mungu. Tuchukulie ni kweli hakuwahi kusema hilo.

Swali langu linarudi palepale una uhakika gani hata hilo la yeye kutokusema Ni Mungu halijapotoshwa? Au nikuulize unatumia kipimo gani kujua hili andiko la Biblia limepotoshwa na hili halijapotoshwa?

Nauliza hilo kwa sababu naweza kukuletea maandiko ya Biblia yanayothibisha Uungu wa Yesu Kristo, usiseme yamepotoshwa.
 
Njoo nikufundishe bitcoin mdogo wangu upate hata hela ya kulipia ada ya madrasa ndani ya siku moja. Ili ukasome kwanza dini ambayo huijui hata historia yake..

Mwenyezi Mungu hakuleta mtu duniani kuteseka unaweza kukaa nyumbani rizki ikakufuata Ukiwa salafi wa kweli utapata sarafu za kweli...
Akhi
 

Attachments

  • 20230501_222049.jpg
    670.5 KB · Views: 7
Kwanza Shirki zipo aina mbili; shirki kubwa na shirki ndogo.



1-Shirki kubwa inamtoa mtu nje ya Uislamu, ‘amali zake zote zinaporomoka, mwenye kumshirikisha Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwa shirki kubwa huwa ni halali damu na mali yake na ni mwenye kudumu Motoni ikiwa hatotubia kabla ya kufariki kwake. Na dhambi ya shirki kubwa ni dhambi pekee ambayo Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Hamsamehi mja atakapokufa bila kutubia. Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):


Hakika Allaah Haghufurii kushirikishwa; lakini Anaghufuria yasiyokuwa hayo kwa Amtakae. [An-Nisaa: 48]

Shirki kubwa ni kuelekeza ‘ibaadah na kuomba du’aa kwa asiyekuwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa). Washirikina wao ndio kabisa hawamwabudu Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) japokuwa huenda wengine wanaamini kuwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ndiye Muumba kama walivyoamini hivyo washirikina wa Makkah. Shirki yao imethibiti katika Uluwhiyyah (‘ibaadah) pale walipoabudu masanamu wakidai kuwa yanawakurubisha kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kama ilivyotajwa katika Qur-aan:

na wale waliojichukulia badala Yake walinzi (wakisema): “Hatuwaabudu isipokuwa ili wapate kutukurubisha kwa Allaah tumkaribie” [Az-Zumar: 3]

Wengine ndio wamemshirikisha Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) na viumbe Vyake wakawafanya ni ilaah (waabudiwa) wao. Juu ya hayo, Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Anamghufuria yeyote yule anayerudi kutubia Kwake baada ya kufuru na shirki kubwa kama hizo. Dalili ni kauli zifuatazo katika Qur-aan:

"Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru." {Al-Maaidah 72}

"Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru" {Al-Maaidah 73}

"Je, hawatubii kwa Allaah na wakamwomba maghfirah? Na Allaah ni Mwingi wa kughufuria, Mwenye kurehemu". [Al-Maaidah: 74]



2-Shirki Ndogo: Ambayo inakulikana kwa “riyaa” ni kufanya ‘ibaadah au kutenda amali lakini kwa niyyah ya kujionyesha kwa watu. Shirki hii haimtoi mtu nje ya Uislamu bali ‘amali zake huporomoka na, ni mwenye kuadhibiwa Motoni kwa kadiri ya madhambi yake.
 
Tunashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…