Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

Yan wewe kweli mpumbavu na hyo sunni yako washamba wa tupu....
Allah anasema magonjwa yote yanatoka kwake na tiba zinatoka kwenye kitabu chake...
Sasa kw taarfa yako,hiyo tarasimu ya kwanza hapo juu..manuizo yake ni kusomea BARAHATIHI 11...Halafu unaleta aya nusu unadhn cc wajnga?
Yani analeta magonjwa alafu analeta tiba zake!!
Lengo la kutuletea magonjwa ni nini!?
 
Back
Top Bottom